SIMBA SC YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA GABORONE UNITED, MPANZU AFUNGA, TETESI ZA FADLU DAVIS KUONDOKA
Klabu ya Simba SC imeanza vyema kampeni zake za hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United ya Botswana, katika mchezo uliochezwa jana mjini Gaborone. Bao pekee la Simba lilipatikana dakika ya 23 kupitia kiungo mpya, Ellie Mpanzu, ambaye aliandika historia yake…
