Bondia Mtanzania Fadhili Majiha ‘Kiepe Nyani’ ambaye ni bingwa wa mkanda wa WBC Afrika ameweka rekodi ya kuwa Bondia wa kwanza nchini kupata hadhi ya nyota nne na nusu akivunja rekodi ya mabondia Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika Mtandao wa maalumu wa Takwimu za mabondia wa Boxrec. Bondia huyo amefikia kiwango hicho wiki moja baada…
