Pamba Jiji Fc Yamvuta Bwalya
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Sc Rally Bwalya yupo mbioni kukamilisha dili ya kujiunga na klabu ya Pamba Jijini Fc ya jijini Mwanza kwa mkataba mfupi wa miezi sita. Mabosi wa Pamba Jiji Fcwl wanapambana kukamilisha dili hilo mapema na tayari wapo nchini Zambia wakimalizana na mabosi wa Napsa Stars ya nchini…
