Cadena Afunguka Mazito Simba sc
kocha wa makipa wa klabu ya Simba sc Dani Cadena amefunguka mambo mbalimbali ndani ya klabu hiyo yanayopelekea klabu hiyo kutofanya vizuri ndani ya uwanja ambapo imeonekana kuwa klabu hiyo ina shida kubwa ya uongozi kuanzia uongozi wa juu mpaka uongozi wa karibu na benchi la ufundi. Cadena ambaye mkataba wake unafikia tamati juni 30…
