Lebo: cafcl
SIMBA SC YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA GABORONE UNITED, MPANZU AFUNGA, TETESI ZA FADLU DAVIS KUONDOKA
Klabu ya Simba SC imeanza vyema kampeni zake za hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United ya Botswana, katika mchezo uliochezwa jana mjini Gaborone. Bao pekee la Simba lilipatikana dakika ya 23 kupitia kiungo mpya, Ellie Mpanzu, ambaye aliandika historia yake…
Mayele Abeba Tuzo Cafcl
Mshambuliaji Fiston Mayele ameibuka mshindi wa tuzo ya mfungaji bora wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika (Cafcl) baada ya kufunga mabao sita akiwaacha Emam Ashour wa Al Ahly na Ibrahim Adel wa Pyramids wenye mabao matano kila mmoja. Fiston Mayele amewapiku wenzake baada ya kufunga bao la utangulizi kwa Pyramids kwenye mchezo wa Fainali…
Boka Afiwa na Baba Mzazi
Mchezaji wa Klabu ya Yanga sc Shadrack Boka amefiwa na baba yake mzazi msiba uliotokea juzi tarehe 11/01/2025 huko nyumbani kwao Jijini Kinshasa nchini Congo Drc. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Uongozi wa Klabu yake ya Yanga Sc katika mitandao ya kijamii ya klabu hiyo. “Uongozi wa Young Africans Sports Club tunapenda kutoa pole…
Caf Yaibeba Yanga Sc Algeria
Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limetoa uamuzi wa kutobadili uwanja wa mechi kama ilivyoomba timu ya Mc Algers kuekea mchezo wa Kundi wa kombe la Klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Yanga sc. Awali MC Alger kupitia rais wa klabu hiyo, Mohamed Hakim walipeleka barua CAF kuomba kubadilisha uwanja wa mechi kutoka 5 July…
Waarabu Watua Kuivaa Yanga Sc
Kikosi Cha Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan tayari kimewasili Tanzania alfajiri ya leo Novemba 20,2024 kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Novemba 26,2024 katika uwanja wa Benjamin mkapa. Msafara wa watu zaidi ya Arobaini umetua mapema asubuhi ya Novemba 20 2024 katika uwanja wa ndege wa…
Simba Kileleni Ligi kuu
Klabu ya Simba Sc imesalia kileleni mwa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini huku ligi hiyo ikisimama kupisha michuano ya kimataifa kwa wiki mbili mpaka Novemba 20. Tayari mastaa wa baadhi za klabu za ligi kuu nchini wakiwa wamesafiri kujiunga na timu zao za Taifa na wakiiacha Simba sc kileleni mwa msimamo wa ligi…
“Naitaka Nusu Fainali” Benchika Atamba
Kocha wa klabu ya Simba sc Abdelhack Benchika ametamba kuwa anataka kikosi hicho kifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika ambapo leo usiku wataivaa Al Ahly Fc katika mchezo utakaofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Benchika amesema hayo wakati wa mkutano na vyombo vya habari kuelekea…
Yanga Sc Kamili Gado
Kuelekea mchezo wa hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika kikosi kamili cha Yanga sc kimeshiriki mazoezi ya jana jioni machi 28 kujiandaa na mchezo huo wa kwanza utakaofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Mastaa waliokua timu za Taifa Djigui Diarra,Kennedy Musonda,Pacome Zouzoua,Stephane Aziz Ki na Bakari…
- 1
- 2
