Man United Yamkabidhi Carrick Kijiti,Man City Kumpa Jaribio La Kwanza
Klabu ya Manchester United imemtangaza rasmi Michael Carrick kuwa kocha mkuu wa muda hadi mwishoni mwa msimu huu, akirithi mikoba ya Ruben Amorim aliyeondoka Old Trafford wiki iliyopita, uamuzi unaoashiria mabadiliko mengine katika safari ndefu ya klabu hiyo kusaka uthabiti tangu enzi za Sir Alex Ferguson zilipofikia tamati mwaka 2013. Carrick, ambaye ni zao la…
