Lebo: ccm kirumba
Simba Sc,Azam Fc Hakuna Mbabe
Klabu za Simba sc na Azam Fc zimeshindwa kuamua nani mbabe baina yao baada ya kukubali sare ya 1-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ambao maelfu ya mashabiki kutoka kanda ya ziwa walihudhuria. Azam Fc hawana budi kujilaumu wao wenyewe kutokana na kukosa nafasi nyingi katika…
