Chalamila Aipongeza Dar City, Atoa Mipira Na Ahadi Ya Mamilioni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameonesha mshikamano mkubwa na mabingwa wa Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (DBL), Dar City, kwa kufanya ziara maalum katika kambi yao ya mazoezi na kutoa msaada wa mipira zaidi ya kumi pamoja na ahadi ya Shilingi milioni 10 endapo watafuzu hatua ya…
