Screenshot 20241002 151607 Instagram

Chama,Musonda Waitwa Chipolopolo

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Clatous Chama na mshambuliaji Kennedy Musonda wa wameitwa kwenye Kikosi cha timu ya taifa ya Zambia(chipolopolo) kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2025. Zambia watacheza dhidi ya CHAD mchezo wa kwanza ni Oktoba 11 nyumbani nchini Zambia na mchezo wa marudiano…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks