Magdalena Shauri Aandika Historia Chicago Marathon 2025
Magdalena Shauri Aandika Historia Chicago Marathon 2025 Mwanariadha nyota wa Tanzania, Magdalena Shauri, ameendelea kung’ara katika anga za kimataifa baada ya kushika nafasi ya tatu katika mbio maarufu za Chicago Marathon zilizofanyika leo, Jumapili, Oktoba 12, 2025, huko Marekani. Katika ushindani huo wa hali ya juu, Shauri ameweka alama mpya ya mafanikio kwa kuvunja rekodi…
