Simba Sc Yaachana na Chilunda
Klabu ya Simba imeachana na mshambuliaji wake Shaaban Idd Chilunda baada ya kudumu kwa msimu mmoja pekee ambapo pia katikati ya msimu alitolewa kwa mkopo KMC alipomalizia msimu huu wa ligi kuu nchini. Chilunda alisajiliwa na Simba sc baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Azam Fc ambapo tangu asajiliwe klabuni hapo amekua na…
