Luvanga Akutana na Ronaldo
Wachezaji wa Al Nassr ya Saudia,Mtanzania Clara Luvanga wa timu ya wanawake amekutana ana kwa ana na mshambuliaji wa klabu hiyo kwa upande wa wanaume Cristiano Ronaldo na kufanikiwa kupiga picha ya pamoja ambayo imesambaa katika mitandao ya kijamii hapa nchini. Clara mchezaji wa zamani wa Yanga Princess alijiunga na klabu hiyo msimu huu akitokea…
