chama v Mukoko

Chama Afungiwa Michezo Mitatu

Nyota wa klabu ya Simba sc Cletous Chama amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya TSh. 1,000,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Yanga Sc, Nickson Kibabage wakati mchezo wa Derby ya Kariakoo uliopigwa Aprili 20, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa. Staa huyo kutokana na adhabu hiyo atakosa mechi tatu zinazofuata…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks