Lebo: Coasta Union
Lawi Aiangukia Kamati TFF
Beki wa klabu ya Coastal union Lameck Lawi hatimaye amerejea nchini baada ya kushindwa kufuzu majaribio yake katika klabu ya K.A.Gent ya nchini Ubelgiji huku akisubiri uamuzi wa Kamati ya usajili na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF). Awali mchezaji huyo alisaini mkataba mpya wa miaka mitatu katika klabu ya Simba sc…
Djuma Shabani Anukia Coastal Union
Klabu ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga iko mbioni kukamilisha usajili wa beki wa zamani wa klabu ya AS Vita na Yanga Djuma Shaban kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa lengo la kuimarisha kikosi chake kuelekea kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao. Coastal imemsajili nyota huyo kama mchezaji huru baada ya kupita msimu…
