Winga Mcongo Atua Coastal Union
Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa klabu ya KenGold Fc Kiala Lassa ambaye amesajiliwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake hiyo ya awali. Kiala Lassa raia wa Congo anauwezo wa kucheza namba nyingi uwanjani kama vile 7, 11 na 10 na amekuwa na msimu…
