Lebo: Congo Drc
Ivory Coast hao Fainali
Licha ya kuanza kwa kusuasua kamamwenyeji katika michuano ya mataifa ya Afrika timu ya Ivory Coast imefanikiwa kufuzu hatua ya Fainali ya michuano hiyo baada ya kuifunga DR Congo kwa bao 1-0 katika mchezo mkali wa nusu fainali. Licha kupiga mashuti 14 langoni mwa Congo DR ni mashuti mawili tu yalilenga lango na moja kuwa…
Inonga Fiti Simba sc
Mashabiki wa klabu ya Simba sc sasa hawana budi kufurahi kufuatia kupona kwa beki wao mahiri Henock Inonga Baka ambaye alikua majeruhi baada ya kuumia katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union na kulazimika kuwa nje kwa takribani majuma mawili. Beki huyo ameonekana yuko fiti katika kambi ya timu ya Taifa lake la…
