Azam Fc yashushiwa rungu: TFF Yatoza Faini ya Sh50 Milioni Baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho
Azam Fc yashushiwa rungu baada ya TFF kuitoza faini ya Sh50 milioni kufuatia kususia hafla ya utoaji wa medali. Soma sababu za adhabu, kufungiwa kwa viongozi na wachezaji pamoja na maamuzi yote ya Kamati ya Mashindano. Azam Fc yashushiwa rungu baada ya TFF kuitoza faini ya Sh50 milioni Azam Fc yashushiwa rungu na Shirikisho la…
