ronaldo

Ronaldo Akumbwa na Virusi

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Al-nassr Fc Cristiano Ronaldo amepatikana na maambukizi ya Virusi ambavyo madaktari wa klabu ya Al-nassr FC hawakutaja ni virusi vya aina gani. Madaktari wa klabu wanasema wamesema kuwa staa huyo ana virusi mwilini hivyo hatoweza kucheza mchezo wowote klabuni hapo. “Cristiano Ronaldo ana virusi jambo ambalo limemsababisha…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks