Man Utd vs Arsenal ndoto za ubingwa za zimwa: 3-2 Mikel Arteta Ataharuki, Michael Carrick Azidi Kung’ara - sportsleo.co.tz

Man Utd vs Arsenal ndoto za ubingwa za zimwa: 3-2 Mikel Arteta Ataharuki, Michael Carrick Azidi Kung’ara

Soka la Ligi Kuu ya Uingereza limeingia kwenye hatua ya sintofahamu kubwa baada ya mchezo wa kusisimua uliopigwa Emirates Stadium. Katika kile kinachoonekana kama pigo kubwa kwa mashabiki wa “Gunners” duniani kote na hususan hapa Tanzania, matokeo ya Man Utd vs Arsenal ndoto za ubingwa za zimwa yamekuwa gumzo kubwa mitaani. Arsenal, ambao walikuwa wakiongoza…

Soma Zaidi
Screenshot 20250602 162450 Instagram

Man Utd Yasajili Straika Hatari

Klabu ya Manchester United imethibitisha kufikia makubaliano na klabu ya Wolves juu ya kumsajili mshambuliaji Matheus Cunha kwa ada ya uhamisho ya pauni Milioni 62.5 ili kujiweka sawa na msimu ujao baada ya kuchemsha msimu huu. Uhamisho wa mshambuliaji huyo raia wa Brazil unatarajiwa kukamilika rasmi baada ya kukamilika kwa visa yake na usajili baada…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks