Screenshot 20250613 093242 Instagram

Simba Sc Yatishia Kugomea Derby

Klabu ya Simba Sc imetoa tamko la kutocheza tena mchezo wa dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga sc endapo mchezo huo hautachezwa Juni 15 2025 kama ilivyopangwa baada ya kughairisha machi 8 mwaka huu. Katika taarifa hiyo kwa umma klabu hiyo imesisitiza ipo tayari kucheza mchezo huo siku ya jumapili na endapo utasogezwa mbele basi…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks