FB IMG 1725116204843

Azam Fc Yaachana na Kocha Dabo

Klabu ya Azam Fc iko mbioni kuachana na kocha wake mkuu Yousouph Dabo sambamba na benchi zima la ufundi la Klabu hiyo kutokana na matokeo yasiyoridhisha. Dabo pamoja na kudumu msimu mmoja na nusu klabuni na licha ya kutofanikiwa kutwaa taji lolote tangu awasili klabuni hapo bado mabosi wa klabu hiyo waliamini kuwa ipo siku…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks