Darcity yaweka heshima BAL licha ya kuishia Robo Fainali Kigali
Darcity yaweka heshima BAL licha ya kuishia Robo Fainali Kigali Klabu ya Dar City imeandika historia mpya kwa mchezo wa mpira wa kikapu Tanzania baada ya kufanya vizuri katika michuano ya Basketball Africa League (BAL) 2026 iliyofanyika mjini Kigali, Rwanda. Licha ya kuondolewa katika hatua ya robo fainali, timu hiyo imeondoka na heshima kubwa mbele…
