Lebo: Derby ya Kariakoo
Wamisri Kuamua K/koo Derby
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limeamua kutumia waamuzi kutoka nje ya nchi katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc utakaofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya jumatano Juni 25 2025. Mchezo huo maarufu kama Dabi ya Kariakoo kati ya timu hizo utachezeshwa na…
Serikali Yajiweka Pembeni Sakata la Derby
Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma imesema kuwa haiwezi kuingilia mgogoro unaoendelea kuhusu mechi ya Darby kati ya Simba na Yanga kutokana na kuwepo mamlaka inayosimamia soka nchini ambayo ni Shirikisho la soka (TFF) Mwinjuma amesema hayo bungeni jijini Dodoma mapema hii leo wakati akijibu swali la nyongeza la…
