Lebo: Diarra
Diarra Atwaa Tuzo
Golikipa wa Klabu ya Yanga sc Djigui Diarra ameshinda tuzo ya mchezaji bora Afrika msimu 2023 | 24, tuzo hizi hutolewa nchini Mali kwa wachezaji wao waliofanya vizuri kwa msimu husika (Mali Football Awards). Kipa huyo namba moja nchini Tanzania ametwaa tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake Aliou Dieng wa Al-Ahly ya nchini Misri, Sadio Kanoute…
