Diarra Arejea Yanga sc

Kipa namba moja wa klabu ya Yanga Sc raia wa Mali, Djigui Diarra amerejea nchini sambamba na kuingia kambini mapema ya leo  akitokea Katika majukumu ya timu ya taifa ya Mali iliyokuwa inashiriki Kombe la Mataifa Afrika (Afcon). Diarra na timu yake ya Taifa walitolewa katika hatua ya robo fainali baada ya kufungwa 2-1 na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks