Lebo: Dube
Dube Amalizana na Azam Fc
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Prince Dube muda wowote atapewa barua ya kumalizana na klabu hiyo baada ya kufanikiwa kulipa zaidi ya shilingi milioni mia tano za kitanzania kwa ajili ya kulipa fidia ya kuondoka klabuni hapo. Dube aliondoka Azam Fc katikati ya msimu akisema hautambui mkataba wake na klabu hiyo ambapo aliandika…
Azam Fc,Dube Wajitetea Mbele ya Kamati
Mshambuliaji Prince Dube amefika katika makao makuu ya Shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya kusikiliza shauri lake dhidi ya Klabu ya Azam Fc ambapo pande hizo mbili zimefika mbele ya kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho hilo. Dube alifungua madai katika kamati hiyo akidai kuwa haujui mkataba mpya wa miaka…
Mbivu na Mbichi za Dube Kesho
Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji na wanachama ya TFF inakutana kesho Alhamisi tarehe 18 April 2024 kupitia mashauri tofauti tofauti ikiwemo sakata la mshambuliaji wa Azam FC PRINCE DUBE ambaye amaejiweka mbali na klabu hiyo akitaka kuondoka kwa madai mbalimbali yakiwemo ya kimkataba. Habari ambazo Bin Kazumari inazo zinasema Dube aliiandikia TFF kulalamika…
Dube Aomba Kuvunja Mkataba Azam Fc
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Prince Dube amewasilisha barua ya kuomba kuvunja mkataba na klabu hiyo kutokana na kutokua na furaha ambapo ana mkataba na klabu hiyo mpaka mwaka 2026. Dube aliyejiunga na Azam Fc msimu wa mwaka 2020 aliongeza mkataba wa miaka mitatu kusalia klabuni hapo mwanzoni mwa msimu uliopita na hivyo kumfanya…
