Mastaa Cameroon Waoga Mamilioni
Serikali ya Cameroon imeendelea kuweka historia mpya katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, baada ya Waziri wa Michezo wa nchi hiyo, Profesa Narcisse Mouelle Kombi, kuthibitisha rasmi kuwa kila mchezaji wa timu ya taifa ya Indomitable Lions tayari ameshalipwa zaidi ya Faranga za CFA Milioni 48 tangu kuanza kwa mashindano hayo yanayoendelea nchini…
