Hispania Yatwaa Euro 2024
Timu ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kuchukua taji la michuano ya Euro 2024 iliyokua ikifanyika nchini Ujerumani baada ya kufanikiwa kuifunga England kwa mabao 2-1 katika fainali ya michuano hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Olympia jijini Berlin,Ujerumani. Hispania ambayo haijapoteza hata mchezo mmoja katika michuano hiyo ilionyesha dalili za kutwaa ubingwa huo mapema kuanzia mwanzo…
