Fadlu Apanga Kumsajili Ahoua
Kuna taarifa mpya zinazoibuka kutoka Morocco ambazo zimezua mjadala mkubwa katika soka la Afrika ambapo inaelezwa kuwa kocha wa Raja Casablanca, Fadlu Davids, amemweka Ahoua kama kipaumbele cha kwanza kwenye orodha ya wachezaji anaowahitaji kwenye dirisha la usajili la mwezi Januari,hasa ukizingatia namna kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Jean Charles Ahoua, alivyojijengea heshima msimu uliopita…
