Fadlu Apigwa Nyundo
Kocha wa Simba Sc Fadlu Davids ametozwa faini ya sh 2,000,000 kwa kutoa shutuma dhidi ya bodi ya ligi akidai kuwa wana ajenda tofauti dhidi ya timu yake kuhusiana na ratiba ya michezo ya ligi kuu ya klabu hiyo. Kocha huyo alizungumza hayo mbele ya wadhamini wenye haki ya matangazo Azam TV baada ya mchezo…
