Simba Sc,Pamba Jiji Fc Watozwa Faini
Bodi ya ligi kuu nchini imewatoza faini ya Shilingi milioni tano kila mmoja klabu za Simba sc na Pamba Jiji Fc kutokana na kuvunja kanuni siku moja kabla ya mchezo wa ligi kuu uliozikutanisha timu hizo Novemba 22 mwaka huu. Katika mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza na Simba sc kuibuka…
