Farid Mussa Afunguka Kutopata Nafasi
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Farid Mussa amefunguka kutoonekana kwake uwanjani tangu acheze katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambapo Yanga sc ilipata ushindi wa mabao 5-0. Farid amebainisha kwamba kupotea kwake uwanjani kumetokana na kuwa na majeraha ambaye yalimfanya akae pembeni na tangu apone sasa anajitahidi kufanya mazoezi kwa kasi ili…
