435792115 18414179926071034 122956152977153663 n

Simba Sc Watua Znz

Msafara wa klabu ya Simba sc umewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya muda mfupi kujiandaa na mechi dhidi ya mtani wake wa jadi Yanga sc siku ya Jumamosi April 20 katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. Simba sc iliondoka mchana wa leo kuelekea Visiwani humo ambapo pia iliweka kambi ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks