Lebo: Feisal Salum
Kaizer Chiefs Yakomaa na Feisal
Uongozi wa Kaizer Chiefs utajaribu kutimiza ndoto za mashabiki wao kwa kumpata Feisal Salum kutoka klabu ya Azam Fc licha kuwa mchezaji huyo ana ofa nyingi ndani na nje ya nchi. Mashabiki wa Kaizer Chiefs wanaamini Feisal ni mchezaji sahihi kwao ambaye anaweza kuirudisha timu yao katika hadhi ya kimataifa, Kaizer wanataka kutengeneza timu kupitia…
Feisal,Azam Fc Kimeeleweka
Kiungo wa klabu ya Azam Fc Feisal Salum amekubali ofa ya USD 12,000 (Tshs 31.5m) ambao ni mshahara kutoka kwa mabosi wa klabu hiyo ili kusaini mkataba mpya wa miaka miwili na dola 320,000 (Tshs Milioni 841.8) ambao ni ada ya usajili. Mabosi hao wanalazimisha dili hilo likamilike mapema ili kuzuia kiungo huyo fundi asijiunge…
