Rashford na Fermin Hawashikiki UEFA! Wakitupia Magoli 5
Madrid Ajipange Barcelona Yaponda Olympiacos 6-1 huku Rashford na Fermin Hawashikiki UEFA Klabu ya soka ya Barcelona ilipata ushindi mnono wa magoli 6-1 dhidi ya Olympiacos katika dimba la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), ushindi ambao haukuwa tu wa kishindo, bali pia ulikuwa ujumbe mzito kwa Real Madrid kuelekea mchezo ujao wa El…
