Samia Aruhusu Kuiona Stars Vs Algeria Bure
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk Samia Suluhu Hassan amenunua tiketi zote za mchezo baina ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Guinea wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2025 nchini Morocco. Rais Samia amenunua tiketi hizo ili kutoa fursa kwa mashabiki kuingia bure ikiwa ni moja ya mkakati…
