Thiago Silva kukutana na chelsea - sportsleo.co.tz

Thiago Silva Kukutana na Chelsea Katika Nusu Fainali za Kombe la Dunia la Vilabu 2025

Katika ulimwengu wa soka ambapo kasi na nguvu mara nyingi hupewa kipaumbele, hadithi ya Thiago Silva inasimama kama ushuhuda wa umuhimu usiopungua wa uzoefu na hekima. Akiwa na umri wa miaka 40, beki huyu mahiri wa Brazil ameendelea kung’ara, akionyesha kiwango cha juu cha utendaji ambacho kinapingana na umri wake. Thiago Silva kukutana na Chelsea…

Soma Zaidi
IMG 20250623 WA0041

Kinda Aizamisha Wydad Ac World Cup

Kinda wa kituruki Kenan Yildiz alifunga mabao mawili ambapo akiongoza Juventus ikipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika Kombe la Dunia la Klabu (Club World Cup) Jumapili hii  kuifanya klabu hiyo kukaribia kufuzu kwenye raundi ya 16. Timu hiyo ya Italia iko kwenye nafasi ya kwanza ya Kundi G kwa alama…

Soma Zaidi
IMG 20250621 WA0060

Flamengo Waizima Chelsea Kibabe

Klabu ya Flamengo Fc ya nchini Brazil imefanikiwa kuifunga klabu ya Chelsea kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kundi D uliofanyika jana usiku Philadelphia nchini Marekani. Chelsea ilipata bao la mapema la Pedro Neto dakika ya 13 katika mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa Lincoln nchini humo ambapo bao hilo lilisawazishwa na Bruno Henrique dakika…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks