Stars Yawasili Morocco Kukipiga J5
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama nchini Morocco ambapo inatarajiwa kucheza siku ya jumatano na timu ya Taifa hilo kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia mwaka 2026. Stars inatarajiwa kucheza mchezo huo wa kundi E la kufuzu michuano hiyo ambapo italazimika kupambana kwa jasho na damu ili kuchukua alama tatu. Mastaa…
