Screenshot 20250325 201528 Instagram

Camara Nje Guinea Ikiivaa Uganda

Kipa wa klabu ya Simba Sc Moussa Pinpin Camara ameanzia benchi katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia mwaka 2026 baina ya Taifa lake Guinea dhidi ya Uganda. Dalili za kipa huyo kutocheza mchezo zilianza kuonekana tangu jana ambapo alishindwa kufanya mazoezi ya mwisho na kikosi cha Guinea kujiandaa na mchezo huo…

Soma Zaidi
208326924

Stars Yainyuka Zambia

Bao pekee la Waziri Junior dakika ya 5 ya mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani,Canada na Mexico limeipata timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) alama tatu muhimu katika mchezo dhidi ya Zambia uliofanyika katika uwanja wa Levy Mwanawasa Ndola nchini Zambia. Waziri alifunga bao hilo akipokea pasi nzuri ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks