WhatsApp Image 2025 12 09 at 14.08.29

Yanga Sc Yamponza Mwamuzi Ligi Kuu

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeendelea kuonesha msimamo mkali katika kusimamia sheria na nidhamu ya mchezo, baada ya kutoa maamuzi mazito dhidi ya Mwamuzi wa kati Ahmada Simba kutoka Kagera pamoja na Mchezaji wa Mbeya City FC, Vitalis Mayanga. Hatua hizi zinakuja kufuatia matukio yaliyotokea katika michezo tofauti ya…

Soma Zaidi

Staa Yanga Sc Atua Fountain Gate Fc

Imefahamika kuwa aliyekua mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Yusuph Athuman amejiunga na klabu ya Fountain Gate Fc yenye makazi yake Babati mkoani Manyara. Staa huyo ambaye sasa yuko zake jijini Dar es Salaam akijiandaa kujiunga na timu yake hiyo mpya wakati wa usajili wa dirisha dogo linatakalo funguliwa mwezi disemba. Fountain Gate…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks