FB IMG 1724692184311

Simba Sc Gari Limewaka

Sasa Furaha na Shangwe zimerejea kwa mashabiki wa Simba sc baada ya timu hiyo kupata ushindi kwa mara ya pili mfululizo katika mechi za ligi kuu ya Nbc nchini ambapo imeifunga Fountain Gate Fc kwa mabao 4-0 mchezo uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam. Simba sc chini ya kocha…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks