436261709 18414179944071034 9061344832698309292 n

Jobe,Fredy Hatihati Msimbazi

Washambuliaji wa klabu ya Simba Sc Pa Omar Jobe na Freddy Koublan huenda huu ndiyo ukawa msimu wao wa mwisho kuonekana katika ligi kuu Tanzania Bara kutokana kutofanikiwa kuonyesha viwango bora katika kikosi hicho mpaka sasa. Wachezaji hao wakati wanasajiliwa klabuni hapo moja ya kipengele kikubwa katika mikataba yao ni kuonyesha uwezo na kuisaidia timu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks