Afcon Yamponza Gabaski
Klabu ya Al Ahly imesitisha usajili wa golikipa wa klabu ya National Bank ya Misri Mohamed Abou Gabal “Gabaski” siku tatu baada ya kumsajili kwa mkopo kuziba nafasi ya El Shanawy aliyeumia akiitumikia timu ya Taifa ya Misri. Chanzo cha kusitishwa kwa mkataba huo ni kutokana na kutokuelewana kati ya nyota huyo na mshambuliaji wa…
