gamondi pic

Gamondi Anukia Apr Rwanda

Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 58 Miguel Ángel Gamondi ameripotiwa kufanya mazungumzo na APR FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya kuinoa klabu hiyo msimu ujao. Ripoti kutoka nchini humo zinasema kuwa tayari makocha 38 wametuma maombi ya kazi katika klabu hiyo baada ya mchakato…

Soma Zaidi
FB IMG 1731348395639

Gamondi Awafungukia Wapinzani Wake

Kocha wa klabu ya Yanga Sc Miguel Gamondi amesema kuwa amegundua wapinzani wake wanamuogopa sana kutokana na ubora wake hivyo wamemtengenezea mtego afungwe mechi mbili ili afukuzwe. Gamondi amesema hayo mapema hii leo wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo alikua akielezea namna timu hiyo inavyojiandaa michuano ya kimtaifa ya Caf. “Nimegundua wapinzani wangu wananiogopa…

Soma Zaidi
gamondi pic

Gamondi Anataka Majembe Mapya

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinasema kuwa kocha Miguel Gamondi tayari amewasilisha ripoti kwa viongozi wa klabu hiyo ambapo ameonesha kuwa anahitaji maboresho katika baadhi ya nafasi katika kikosi hicho. Pamoja na kufanya vizuri katika mechi tisa za kwanza za ligi kuu nchini bado kocha huyo ameainisha baadhi ya maeneo ambayo anahitaji…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks