440303968 18417696097071034 8962242897231344742 n

Simba sc Yailaza Geita Gold Sc

Klabu ya Simba sc ikitoka nyuma kwa 1-0 imefanikiwa kushinda kwa mabao 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc dhidi ya klabu ya Geita Gold Sc uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es salaam. Ilimpasa kocha Juma Mgunda kufanya kazi ya ziada baada ya kutanguliwa kufungwa dakika ya Geofrey…

Soma Zaidi
431872526 970350117784253 3175961773773807067 n

Yanga Sc Yajichimbia Kileleni Nbc

Klabu ya Yanga sc imezidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kupata ushindi wa 1-0 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold Fc uliofanyika katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Yanga sc iliingia katika mchezo huo ikiwa bila mastaa wengi wa kikosi cha kwanza kama Khalid Aucho…

Soma Zaidi
427998367 18400226482071034 2741571457159573590 n

Simba Sc Yazoa Alama Tatu Jioni

Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuchukua alama tatu baada ya kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold Sc katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza. Kocha Dennis Kitambi alifanya utafiti wa kutosha kuhusu mbinu za Kocha Abdelhack Benchika kiasi cha kufanikiwa kuziba mianya yote huku akiwazuia vizuri…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 412374163 901056721283733 5646182688652324124 n 1080

Kitambi Atua Geita Gold SC

Aliyekua kocha wa zamani wa klabu za Azam Fc na Namungo Fc Dennis Kitambi amejiunga na klabu ya Geita Gold Sc akichukua nafasi ya Hemed Morroco ambaye aliamua kujiuzuru kuifundisha timu hiyo yenye makazi yake mkoani Geita. Kitambi alikua kocha wa Namungo Fc lakini alitimuliwa baada ya timu hiyo kuwa na mwenendo mbaya ambapo sasa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks