Guede Aondoka Singida Black Stars
Mshambuliaji wa klabu ya Singida Black Stars Joseph Guede amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo kutokana na makubaliano ya pande zote. Guede aliyesajiliwa klabuni hapo akitokea Yanga sc amefanikiwa kucheza mechi sita pekee za ligi kuu mpaka sasa ambapo hajafanikiwa kufunga bao lolote. Uwepo wa washambuliaji Elvis Rupia,Athur Bada na Victorien Adebayo…
