Hamza Mbioni Kurejea Simba sc
Beki wa klabu ya Simba Sc Abdulrazak Hamza leo amefanyiwa vipimo vya afya kwa awamu ya pili ili kufahamu maendeleo ya majeraha yake yanayomsumbua ambayo yamesababisha akosekane mazoezini mwa klabu hiyo. Hamza aliumia katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Dodoma Jiji ambapo Simba sc waliibuka na ushindi wa 1-0 na kisha…
