Yanga SC Yafungiwa na FIFA: Tanzania Yaongoza Afrika Mashariki kwa Migogoro ya Mikataba

Hersi Aitamani World Cup

Rais wa Yanga, Hersi Said amesema malengo ya timu hiyo ni kuhakikisha inakuwa moja ya klabu bora barani Afrika huku yeye binfasi akitamani kuona mwakani wakiingia kwenye timu nne bora Afrika ili waweze kushiriki Kombe la Dunia kwa ngazi ya klabu. Hersi ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la vilabu barani Afrika (ACA) alisema hayo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks