438059469 18427822306052678 6759975919780892410 n

Azam Fc yaifunga 1-0 Ihefu Fc

Bao la Feisal Salum Dakika ya 13 ya mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Ihefu Fc limetosha kuipatia alama tatu klabu yake hiyo katika mchezo wa ligi kuu baina ya timu hizo uliofanyika katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Azam Fc iliyokua ikitafuta alama hizo muhimu ili kuendelea kujichimbia katika nafasi ya…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 416079006 1411295199807610 4923101284631464227 n 1080

Ihefu Yatimua C.E.O

Uongozi wa klabu ya Ihefu Sc umefikia makubaliano ya pande mbili ya kusitisha Mkataba wa kazi na aliyekua Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Biko Mangasini Scanda ikiwa takribani siku arobaini na tatu tangu imtangaze kujiunga na timu hiyo Novemba 22 mwaka jana. Katika taarifa yake kwa umma uongozi wa timu hiyo umemshukuru Biko kwa…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 413901316 1481993895710987 6885096730783316940 n 1080

Mexime Atua Ihefu Fc

Kocha mwenye maneno makali Mecky Mexime amejiunga na klabu ya Ihefu FC sikua chache baada ya kuachana na klabu ya Kagera Sugar Fc kwa makubaliano ya pande mbili ambapo tayari ametambulishwa rasmi klabuni hapo. Mexime amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba ambao haujawekwa wazi utakua wa muda gani japo kwa taarifa za ndani kuwa unaweza…

Soma Zaidi
Basena Moses Ihefu

Basena Atimuliwa Ihefu Fc

Klabu ya Ihefu Fc imeachana na kocha raia wa Uganda Moses Basena kutokana na kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya klabuni hapo tangu ajiunge nayo akichukua nafasi ya Zubeiry Katwila aliachana na timu hiyo na kujiunga na Mtibwa Sugar. Basena amedumu kikosini humo kwa siku hamsini pekee huku akipata sare na vipigo pekee katika michezo…

Soma Zaidi
mziee

Ihefu Yailaza Yanga sc

Ihefu Fc imefanikiwa kuchukua alama tatu kutoka kwa Yanga sc baada ya kufanikiwa kuifunga klabu hiyo kwa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Highland Estates ulioko eneo la Ubaruku mjini Mbarari mkoani Mbeya. Ikianza na mastaa wachache wanaokaa benchi akiwemo Zawadi Mauya,Salum Abubakar na Kibwana Shomari ilianza kupata bao mapema…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks