Snapinsta.app 1080 295920308 1691479461231896 1893148517784633075 n

Israel Aongeza Mkataba Simba Sc

Ikiwa katika maboresho makubwa ya kikosi chake,Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kumuongeza mkataba beki Israel Mwenda mpaka mwaka 2026 ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili kusalia klabuni hapo. Simba Sc imeona umuhimu wa kumbakisha beki huyo ambaye mkataba wake wa miaka miwili ulikua unafika tamati Juni 30 mwaka huu ambapo katika dili hilo jipya staa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks